Wasanii kuanza kulipwa Mirabaha Mwezi Desemba, 2021

Na Shamimu Nyaki, Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema kuanzia mwezi Desemba mwaka huu wasanii wataanza kulipwa Mirabaha yao kupitia kazi za Sanaa zinazochezwa katika redio, runinga na mitandao ya kijamii. Mhe. Samia amesema hayo Juni 15, 2021 Jijini Mwanza alipokuwa anazungumza na vijana wa Mkoa huo kwa